Posts

Image
MAAJABU YA AYATUL QUYRSIYY  KATIKA TIBA NA KUONDOSHA UMASIKINI                                                                                                                                 BISMILAH RAHMAN RAHIM                      ASALAM ALAYKUM WARAHMATULAH WABARAKATU .Shukrani zote anastahiki mola mlezi wa viumbe vyote.Na ameiteremsha Quran kwa bwana mtume Muhammad s.w na aya zake ni ponyo ya maradhi mbalimbali .Ayat qursiyy huondisha matatizo mbalimbali na maradhi kwa wenye kuamini na wakafahamu namna ya kuitumia.Mtu mwenye kuisoma ayat qursiyy katika chakula Mara saba kisha chakula kikapikwa kitakuwa kingi watu watakula mpaka watashiba kama chakula kitakuwa Michele atauchukua kidigo atausomea ayatu qursiyy saba,bismilah saba na swala ya mtume saba akimaliza atachanganya na mchele mwingine atapika kwa utukufu wa ayat qursiyy watu watakula mpaka watashiba.Na mtu yeyote aliyefungwa jela akawa anasoma ayat qursiyy asubuhi na jioni Mara 20 mwenyezimungu atamfanyia sababu ya kutoka je...